Jamani sikuewpo kwa muda mfupi katika masuala ya kikaziambazo zilinifanyakutokufanya kazi blog but kwa sasa nimerejea. Baada ya kuwasili kazi ya kufanya live kwenye viwanja vya maonesho ikaanza na hii ni mitambo ya live KFM.
Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Saturday, 30 June 2012
MAONESHO YA KILIMO NA BIASHARA SABASABA MWAKA HUU YAPENDEZA MAPEMAAAAAAAA.
Yanafanyika katika viwanja vya CCM ambapo washiriki mbalimbali zikiwemo Redio za mjini humo zimeshiriki kurusha matangazo Live (KASIBANTE REDIO na VISION FM)
BALIMI YAKAMILISHA ZOEZI LA KUSAKA MSHINDI WA NGOMA ZA ASILI KAGERA
MMgeni rasmi katika mashindano hayo uwanjani kaitaba mjini Bukoba alikuwa mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi ZIPORA PANGANI.
Ras Niga kichwa ya simba ni miongoni mwa waimbaji wa ngoma, ambapo makundi saba yameshiriki mashindano hayo.
Ras Niga kichwa ya simba ni miongoni mwa waimbaji wa ngoma, ambapo makundi saba yameshiriki mashindano hayo.
ASKARI ANAPOMKAMATA RAIA BILA MKOSA WANANCHI WAKABAKI WANALALAMIKA BILA KUSAIDIA
Kijana mmoja katika manispaa ya Bukoba amekamatwa na askari wa usalama barabarani baada ya kuonekana kama amelewa jambo ambalo limewasikitisha jamaa zake walioshuhudia hali hiyo, lakini kinachowauzunisha wananchi zaidi ni kumkwida kijana huyo kitendo wanachodai ni unyanyasaji.
Hapa kuna maswali kuhusu kutii sheria bila shuruti kwamba kweli inawezekana?
Hapa kuna maswali kuhusu kutii sheria bila shuruti kwamba kweli inawezekana?
Sunday, 3 June 2012
KIMATAIFA
WAKATI NDEGE INAUA 10 NCHINI GHANA, BOMU LAUA KADHAA KATIKA KANISA NIGERIA, LAKINI WAKATI HUO KOFFI ANNA AMSISITIZA ASSAD KUKOMESHA MAUAJI SYRIA NA WAASI WA TUAREG WATAFUTA SULUHU KULE NCHINI MALI.
Mjumbe wa amani wa kimataifa Kofi Annan ameyashutumu majeshi ya
rais wa Syria Bashar al-Assad kwa mauaji pamoja na kuwakamata watu kinyume na
sheria .
Waasi wa Tuareg na viongozi wa kundi la Kiislamu kaskazini mwa Mali wanajaribu kutafuta muafaka, baada
ya Watuareg kuukataa mpango wa kuanzisha taifa lililojitenga na Mali lenye
kufuata sheria za kiislamu yaani Sharia.
Saturday, 2 June 2012
LVEMP WASISITIZA UTUNZAJI WA MITO INAYOMWAGA MAJI ZIWA VICTORIA
Maazimio mbalimbali yamepitishwa ambapo jambo kubwa ni utekelezaji mbandala wa sheria ya utunzaji mazingira.
Baadhi ya washiriki wametembelea bandari ya Bukoba ili kujionea shughuli za meli kwani nayo ni mojawapo ya vyanzo vya uchafuzi wa maji ziwa victoria.
Subscribe to:
Posts (Atom)