Nimefuatilia mikoa mbalimbali na kubaini kuwa mashujaa wamekumbukwa walio hai na ambao wametangulia mbele ya haki, lakini Kagera sikuona wala kusikia ni wapi siku hiyo imehadhimishwa je kwanini? au hakuna mashujaa huko? kumbuka hata vita ya Uganda na Kagera.
No comments:
Post a Comment