MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 16 July 2012

MAMA ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE AOMBA MSAADA

Amekiambaia kituo cha redio Kasibante kuwa aliolewa na kijana aliyekuwa akiendesha baiskeli na baada ya kuoana wakaanza maisha na kunua godoro kwani walikuwa wakilala chini, baadaye mwanadada alijifungua na siku moja akampeleka mtoto kliniki ndipo alikuta bwana wake ameishaondoka na mali zote walizokuwa tayari wanamiliki dada huyo anapakwenda hana chakula na wala hana cha kuvaa lakini kwao ni Kragwe Omukitwechenkura. KATIKA PICHAni mkurugenzi mtendaji Kasibante fm Redio akimkabidhi nguo na baadhi ya vitu vya msaada kutoka redioni hapo, chini ni JANE LWOMIRE naye akimkabidhi nguo kwa ajili ya kuanza maisha, lakini wakati huo WILLIAM RUTA wa KIROYERA TOURS naye ametoa msaada wa shilingi elfu 20 hivyo dada huyo sasa ameondoka kwenda kwao karagwe bila kusaau naye DJ Amry ametoa sh5000.



No comments: