MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 17 July 2012

WAKUFUNZI 362 NGAZI YA MKOA WAPEWA SEMINA JUU YA SENSA YA WATU NA MAKAAZI

Sensa itafanyika kwa siku 7 kuanzia agost 26 mwaka huu, ambapo wananchi wote wanatakiwa kushiriki katika zoezi hilo bila kukosa wala kuwa na uwoga.

No comments: