Baada ya kwenda katika kijijikimoja kufuatilia suala la kwanini wanakijiji hao wanalalamikia ukosefu wa umeme na maji wakati miundombinu hiyoimewazunguka kwenye vijiji vingine hasa maeneo yote ya karibu. Picha namba moja ni chupa ya pombe ya kienyeji ambayo nimelazimka kuitumia ili nipate information zaidi.
No comments:
Post a Comment