Pamoja na hiyo wataalam wanashauri kuwa watu kuhifadhi mafuta ya petrol kwenye makundi ya watu kuwa ni kosa na ni hatari kwa maisha ya watu.
Picha ya kwanza ni mahojiano yangu na mtendaji wa Kata husika ambaye amejitahidi kufanya mawasiliano na TANESCO lakini anashangaa kuona inachkuwa muda mrefu bila kpatiwa huduma hiyo.
No comments:
Post a Comment