
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika
kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
: Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi
uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara
ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19,
2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana
na Mjumbe Maalum Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi
aliyemletea
ujumbe toka kwa Rais Pierre
Nkurunzinza wa Burundi leo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe
Issa Mtambulka na kulia ni Afisa mwandamizi wa Serikali ya nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder
International alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
No comments:
Post a Comment