
Inasemekana mayai hayo yanakuwa yametengenezwa kiwandani wala hayatokana na kuku wa aina yoyote ambapo yakikaangwa yanakuwa kama pamba, pia mayai hayo ni madogo kwa size kuliko yai la kawaida.
Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
No comments:
Post a Comment