.Mkuu huyo wa mkoa ambaye kwasasa anaonesha kluleta mabadiliko makubwa kimkoa, amri yake imeonekana kuwakera wengi hasa wasanii na wajasriamali kupitia masuala ya burdani, lakini mkuu huyo wa mkoa amesema wabadilike kwa ratiba badala ya kuanza muda umekwisha wajitahidi kuanza mapema saa moja ili wakifika saa sita wawe wamemaliza burdani.Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akihojiwa na Presenter wa Kasibante Redio ambaye hata hivyo ndo mmiliki wa Blog hii, ambapo mkuu huyo wa mkoa pia amesema kuwa tozo za posho ya mazao zipo kisheria hivyo anayekiuka atapatiwa adhabu kali na mfanyabiashara anatakiwa kulipia pale anapotoa mazao wala siyo njia au anapopeleka
SHERIA
.
No comments:
Post a Comment