Baada ya kuzinduliwa uzalishaji wa viazi lishe nchini mapema mwaka huu kwa ushirikiano wa kituo cha utafiti wa mazao ya kilimo MARUKU na UKILIGURU, sasa mtaalamu wa masoko Bwana mshongi hapa ametoa mikakati ya mnyororo wa pamoja kuwezesha upatikanaji wa masoko, na hii ikiwahusisha wakulima wakubwa na wadogo kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Kagera.
No comments:
Post a Comment