
Kumbuka unaweza ukawa siyo Albino lakini ukapata mtoto Albino, hivyo jitahidi kushiriki nao kwani ni jambo la kawaida na hali hiyo kamwe haiambukizi.
Ni picha za pamoja kati yangu na walemavu wa ngozi kutoka wilaya zote mkoani Kagera.
Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
No comments:
Post a Comment