MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 24 September 2012

HII NDO FIESTA IRINGA USIKU KUAMKIA LEO.

Onesho la Serengeti Fiesta limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa , ambapo wasanii mbalimbali wamepanda jukwaani kuburudisha wakazi wa mkoa wa Iringa.

Amini akiimba jukwaani katika tamasha hilo
Rachel akimwaga mauno jukwaani ametisha kwa ujumla usiku huu mjini Iringa na mashabiki wamemkubali.
usiku huu.

No comments: