Kwenye hotuba yake Mkuu huyo wa mkoa Bwana Evarist
Ndikiloameiomba Kamati ya Tume ya Taifa ya Utalii kuipa
nafasi tena Mwanza kwa mwaka ujao iwe mwenyeji wa maonyesho kama hayo ili
kukomaza vyema katika shughuli za utalii sambamba na kupata fursa ya mwendelezo
wa kutangaza vivutio vya utalii na shughuli zake zilizopo mkoani humo.
-->
-->
Mtemi alitambika pande zote nne kuita neema kwa shughuli
za utalii mkoa wa Mwanza.
Ni ngoma za makundi ya kitanzania zikitumbuiza ngoma ya kisukuma.
No comments:
Post a Comment