MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 22 September 2012

LIGI YA TFF NGAZI YA WILAYA YASHINDWA KUFANYIKA BUKOBA.

 Katibu wa chama cha soka Tanzania Ngazi ya wilaya MALICK SOUD TIBABIMALE amesikika akifunguka kupitia Kasibante Redio kuwa yeye atawasilisha matokeo ya kuwa timu zimeshindwa kwenda uwanjani kwasababu za viongozi kufunga lango la uwanja wa Kaitaba.
 Hata hivyo baadhi ya viongozi waliozungumza  nyuma ya Kamera wamesema kuwa hiulo ni kosa kwani uwanja huo hauna tatizo lolote hivyo kwa mujibu wa TFF ulitakiwa kutumika kwa michezo hiyo, hivyo kutoanza kufanyika kwa michezo hiyo leo kunaweza kusababisha kutofanyika kwa Ligi ya TTF wilaya ya Bukoa.

No comments: