MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 21 September 2012

NDEGE YA PRESCION AIR YAPATA HITILAFU ABIRIA WA KWAMA KUONDOKA BUKOBA

 Wakizungumza kwa nyakati tofauti, abiria hao wamesema kuwa wameambiwa kwamba utaratibu wa kuwatafutia sehemu ya kulala unafanyika ili waweze kuondoka kesho, ambabo imeonekana wengine wakibebwa kwenye gari aina ya COASTER na kupelekwa kwenye hotel ya ELCT.
 Alipotafutwa meneja uwanjani hapo kuzungumzia hali hiyo hakutoa ushirikiano baada ya kumpaki muandishio habari kwamba atarudi baada ya kuingia ndani ikawa vigumu kutoka na tulipojaribu kuingia ndani dada mmoja mhudumu anayeonekana picha ya chini alikataa akisema kuwa Meneja huyo asubiriwe nje.
 Dada anayehudumu kwenye uwanja wa ndege Bukoba.

No comments: