MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 20 September 2012

ULINZI MAJINI NCHINI TANZANIA WA HIMARISHWA

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt ameshiriki katika hafla ya kukata utepe wa kufungua mafunzo pamoja na msaada huo katika kambi ya
Msaada huo kwa ujumla utasaidia ushirikiano wa kupata taarifa miongoni mwa Mamlaka za Bandari, askari wa majini na Jeshi la Wananchi wa Tanzania ikiwa ni kuongeza usalama majini.

 Picha ni kwa hisani ya mjengwa......

No comments: