MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 19 September 2012

WANAHABARI WASHIRIKI MAZISHI YA BABA WA MUANDISHI HABARI WA CHANEL TEN

 Waandishi kutoka chama cha waandishi habari mkoani Kagera KPC pichani juu Kushoto AYOUB MUSA MPANJA, ANTIDIUS KALUNDE, MAC NGAIZA, LILIAN LUGAKINGIRA, LENATA KIPAKA,  na AUDAX MTIGANZI, nyuma yupo INNOCENT aliyetupiga pichaa hii.
 Mathia Byabato ndiye aliyeshika fimbo mfupi kuliko wote kwenye safu hii.

 Katika msafara wa mamba kenge hawakosi, huyu ni raia aliyeajipatia kuti la kunyea pombe ya kienyeji aina ya Rubisi lakini kifaa hicho kinaitwa Kitegela na kinatumika sana mkoani Kagera.

No comments: