MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 19 September 2012

WATU WAWILI WAMEUAWA NA RAIA WENYE HASIRA KAGERA




 Picha chini ni mmtedanji wa kijiji Kemondo ambaye amesema wametaarifu polisi amabao hata hivyo wamechelewa kwani wamekuta raia hao wameshapoteza maisha, kwa mujibu wa shuuda wamesema hata hivyo gari la kampuni ya ulinzi la kubeba fedha limekuta wananchi wakitaka kuchukuwa sheria hiyo ambapo wameshindwa kuwazuia wananchi kwani wananchi hao walikuwa na hasira na kupasua vyoo gari hilo baada ya kupigwa risasi hewani.
 Chini kwenye gari ni kijana aliyechukuliwa na polisi ajili ya kusaidia upelelezi kwani anasema jana watu hao walikuwa wamemrubuni  kumteka.
 Ni ANITA CHARLES miaka 19 alinijuza kuwa watu hao walimkimbiza katika mazingira ya kutatanisha.

No comments: