MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 6 September 2012

WAANDISHI HABARI TANZANIA WAPEWA MAFUNZO YA JINSIA NA UKIMWI

 Chini ni Dokta Katanta ambaye ni mkufunzi katika masuala ya UKIMWI kutota GIZ, katikati ni Bi BEATRICE kutoka GIZ ambaye ni mshauri katika masuala ya KIJINSIA na SOSPETER kutoka GIZ akiwakilisha na kutoa ushauri ki-habari.
 Kutoka kulia ni Abdalah Mwaipaya kutoka ITV, RADIO ONE na kulia ni Elisha Felician kutoka RFA
 Chini ni waandishi mbalimbali kutoka vyombo tofauti nchini
 Kutoka kulia Nicolaus Mac Ngaiza kutoka Kasibante fm Redio Bukoba, na katikati Rahab Fred kutoka RFA
 Chini kulia ni wadau mbalimbali na waandishi ambapo kulia ni Alen Peter Kasiga kutoka Magic Fm na Chanel Ten.

No comments: