
Picha chini ni mwonekano wa kanisa Cathedro Bukoba likiwa kwenye maandalizi ya kufunguliwa rasmi baada ya kesho kupokelewa kwa masalia ya marehemu Rugambwa.
Chini ni mwonekano wa Kanisa hilo baada ya kufanyiwa ukarababti ulioanza kufanyika kuanzia mwaka 1992
Askofu msaidizi jimbo la Bukoba Methodius Kilaini akifafanua kuhusu maandalizi ya maziko hayo kesho jumamosi na kutabaruku knaisa hilo jumapili.
No comments:
Post a Comment