Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenziwa TAKUKURU mstaafu Jenerali RUTTA KAMAZIMA, yamefanyika kijijini kwao MarukuBukoba, ambapo ameacha mjane anayeonekana picha ya pili, pamoja na watoto kumi na mmoja.Wakati wa uhai wake amepata kozi mbalimbali za kijeshi ndani na nje ya nchi kama CHINA, INDI na MISRI
No comments:
Post a Comment