MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 2 October 2012

TMF WATOA MAFUNZO KUHUSU UTOAJI WA RUZUKU KWA WAANDISHI NA VYOMBO VYA HABARI KAGERA.

PICHANI CHINI NI NDIMARA TEGAMBWAGE -MKONGWE NA MUANDISHI HABARI MWANDAMIZI AKITOA SOMO LA KUANDAA HABARI.
 Ni waandishi na wamiliki pamoja na wadau wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Kagera.

 Kushoto ni mkurugenzi wa shirika la KADETF Bwana Yusto Mchuruza, Lenata Kipaka na Phinias Bashaya, chini kutoka kushoto ni mwenyekiti wa kata kahororo, na kushoto ni Mwemez Junior kutoka kampuni ya MORITIES.

 Juu ni Prudence Kibuka muandishi habari pamoja na waandishi wengine wa mkoani Kagera.

No comments: