
Baba Askofu jimbo katoliki Mwanza, YUDATHADEI RUAICHI aliyeongoza ibada ya mazishi akiweka shada la maua.
Baba Askofu jimbo kuu la Bukoba Nestorius Timanywa akiweka shada la maua, na chini ndiyo kaburi ulipolazwa mwili wa KARDINAL LAURIAN RUGAMBWA.
MUNGU AKULAZE MUADHAMA KARDINALI LAURIAN RUGAMBWA MAHALA UNAPOSTAHILI AMIN.
No comments:
Post a Comment