MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 7 November 2012

TANZIA

Kifo cha askofu ALOYSIUS BALINA wa jimbo katoliki la shinyanga kilichotokea leo siku ya jumanne majira ya saa tano za asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoani Mwanza alikokuwa amelazwa kwa matibabu na kimethibitishwa pia na Mkurugenzi wa habari wa jimbo kuu la Mwanza padre CHRISTOPHER KUBEJA pamoja na tanzia ya jopo la mapadri washauri wa jimbo la shinyanga.
Padri KUBEJA amesema kuwa mipango ya mazishi inafanyika jimboni shinyanga na kuwataka waumini wa kanisa hilo kuwa watulivu.
MWANA HARAKATI

No comments: