MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 14 November 2012

WANANCHI WANAISHI KWA KUTUMIA MAJI MACHAFU YANAYOWASABABISHIA MAGONJWA BILA KUJUA

 Katika kitongoji hicho kuna chemchemi zaidi ya sita ambapo mbili zimetengenezewa miundombinu ya utunzaji wa maji hayo lakini zilizosalia ziko wazi kama picha zinavyoonesha.

 Chini ni mwananchi akichota maji katika moja ya chemchemi hizo ambayo haikauki hata kama mvua hazinyeshi lakini maji hayo yako kwenye mazingira machafu.
 Chini mac ngaiza katika moja ya chemchemi ambayo maji yake kama hakujanyesha mvua yanakuwa masafi lakini baada ya mvua yanakuwa na rangi kama unayoiona kwasababu maji ya mvua utiririkia kwenye chemchemi hiyo.

 Picha juu ni uelewa mdogo wa binti huyo ananawia sehemu wanapochota maji ya kutumia majumbani na picha ya kwanza chini Inaonesha maji kabla ya kunyesha mvua na pili ni baada ya kunyesha mvua.



NI MIONGONI MWA CHEMCHEMI ZINAZOTUMIWA NA WANANCHI HAO AMBAO HATA HIVYO WANASEMA KUWA MARA KWA MARA WANAUGUA MATUMBO NA KUHARISHA.

No comments: