Rwanda imetuhumu wanajeshi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya
Congo kwa kufanya uchokozi baada ya kundi moja kuvuka mpaka.
Mmoja wa wanajeshi wa Congo alipigwa risasi wakati mmoja wa Rwanda alijeruhiwa katika ufyatulianaji wa risasi. Tarrifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi.
Msemaji wa jeshi la DRC alidokeza kuwa makabiliano yalikuja baada ya wanajeshi wa DRC kuvuka mpaka kununua vileoMWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment