Baadhi ya wasanii wameubeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) kwenye
Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa Mazishi
yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho
Kikwete.
Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo
kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.Chini ni baadhi ya waandishi wakichukuwa picha kwenye mazishi ya marehemu SAJUKI hii leo.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment