Mwili wa marehemu Mwalimu Casto Sote
Kawamba aliyepigwa risasi na Askari wa Jeshi la Polisi
Taarifa zinasema kuwa ASKARI wa Jeshi la Polisi amemuuwa Mwalimu
wa Shule ya Sekondari Kitulo Wilayani Mkete kwa kumpiga risasi mgongoni kwa
madai kwamba mwalimu huyo alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa Helment (Kofia
ya kuendeshea Pikipiki).
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Makete Peter Kaiza alimtaja marehemu kuwa ni casto sote kawamba na kusema kwamba tukio hilo lilitokea karibu na Benki ya NMB tawi la Makete.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mjengwa Blog.
No comments:
Post a Comment