Mhe. Sophia Simba ( Mb) akiongoza ujumbe wa Tanzania wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa 57 wa Kamisheni kuhusu Hali ya Wanawake (
CSW) mkutano huo wa wiki mbili umeanza siku ya jumatatu hapa makao makuu ya
Umoja wa Mataifa, wengine katika picha ni Balozi Tuvako Manongi,
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Engera
Kileo Mmari Jaji wa Mahakama ya Rufa, Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Balozi
Ramadhan Mwinyi, wengine ambao wapo katika meza hiyo ya Tanzania,
ni Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi.
Kijakazi Mtengwa na Mhe. Imani Aboud Jaji wa Mahakama ya Rufaa
No comments:
Post a Comment