Picha chini ni nyumba alikojificha kwenye Bot hapo nyuma na sasa yuko hospital chini ya ulinzi mkali baada ya kujeruhiwa kwenye majibizano ya risasi.
MWANA HARAKATI
Jiji la Boston linarejea katika hali ya kawaida baada ya mojawapo wa
msako mkubwa katika historia ya polisi ya Marekani kumalizika kwa
kukamatwa kijana mmoja anayeshukiwa kuhusika katika shambulio la mabomu
wakati wa mbio za marathon siku ya Jumatatu.
No comments:
Post a Comment