MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 21 April 2013

ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA AHUTUBIA MAAFARI YA CHUO CHA UALIMU ST FRANCIS NKINDO

 Ni maafari ya 7 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho yakihusisha wahitimu wa ngazi ya cheti 139 wakiwemo wakiume 68 na waliosalia ni wakiume.
Askofu Rwoma, amesisitiza kuwa na maadili kwa wanafunzi hao na kusisitiza kuwa wasijiingize kwenye migogoro ya maandamano, kwasababu baada ya kuhitimu kwao, ni njia mojawapo ya kujipatia nafasi ya utekelezaji na kujishika katika wito wa kazi zao walizosomea, kulinganisha na changamoto zinazoikabili nchi kwa sasa.

No comments: