Ni afisa upelelezi aliyepata jali usiku wa kuamkia jana katika eneo la Buseresere baada ya kugongana na fuso akiwa na gari yake ndogo na kusababisha kifo chake baada ya kukimbizwa hosptali jirani.
Dereva na tingo wa FUSO wanashikiliwa na polisi kwa uchunguzi huku wakiwa hosptalini kwa matibabu kutokana na majeraha waliyoyapa baada ya ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment