Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama
Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni
walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam April
7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
No comments:
Post a Comment