Mpiga solo wa Super Kamanyola, Allan aka 'Alee' alishawahi kufanya kazi na Wenge BCBG na hata ziara ya JB Mpiana aliyoifanya hivi majuzi jijini Mwanza mkali huyu alitambulishwa.
Mkongwe mzoefu Parash Mukuley naye yu mmoja kati ya wana Super Kamanyola. |
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment