Kiongozi wa Kanisa la Anglikana la
Zanzibar akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day)
katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Shekhe
wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day)
katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya
CCM Kisiwandui Zanzibar leo April 7, 2013
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment