MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 1 May 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI MEI MOSI, MKOANI KAGERA

 Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu FABIAN INYAS MASSAWE, wakati akihutumia mamia ya wafanyakazi kwenye uwanja wa katiba, wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani MAY MOS.

 Katika maadhimisho hayo, wafanyakazi kupitia Lisara yao iliyosomwa na katibu wa TUCTA mkoa na ambaye ni mratibu wa maadhimisho hayo bwana MAX CHABA, baada ya kuitoa kama changamoto kuwa baada ya kufungwa kwa machimbo hayo wilayani Kyerwa, vijana wamejiingiza katika vitendo vya ualifu kwa kiasi kikubwa, hatahivyo katika lisara hiyo, wafanyakazi wamelalamikia waajiri kulazimisha wafanyakazi kuomba kazi upya na kushindwa kuwalipa mafao yao.

 Maandamano ya siku ya wafanyakazi yameanzia Ofisi za TUICO mkoa, na kuelekea katika uwanja wa mpira wa miguu KAITABA huku ukiwashirikisha wafanyakazi wa mashirika, serikali, na watu binafsi.


 Suala la mikataba mibovu, kuwazuia wafanyakazi kujiunga na vya,a pamoja na mwajiri kulazimisha mfanyakazi mfuko wa hifadhi ya jamii, zimetajwa kuwa changamoto kwa wafanyakazi, huku mishaara duni ikiwa kikwazo cha wafanyakazi kutekeleza kazi yao ipasavyo.
Maadhimisho hayo yameandaliwa na shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA.
MWANA HARAKATI

No comments: