MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 5 May 2013

MAGUGUMAJI YAVAMIA KIROYERA BUKOBA

 Magugu hayo utembea usiku kucha yakipelekwa na mawimbi na kufikia eneo lolote kulingana na upepo unakovuma kuelekea, lakini kutua katika eneo hili kumefanya wananchi kufikilia mengi kuwa ni maajabu, lakini wataalamu wanasema kama zilivyo taka zingine kusafirishwa na mawimbi kupelekwa nchi kavu, ndivyo gugumaji upelekwa.



MWANA HARAKATI

No comments: