Yamepigwa mabomu ya machozi baada ya Msigwa kufika eneo walipokuwa
wafanyabiashara hao, na kuanza kusukuma gari lake, lakini mwanzoni
walimlinda na polisi wakapata wakati mgumu kumkamata.
Ikumbukwe kuwa hawa wamachinga wamepewa eneo maalumu la
kufanyia biashara zao la Kitanzini na Mlandege, kwa sababu hapo wanapotaka
kufanyia biashara sasa ni padogo na ni kero kwa wanachi kwani ni stendi kuu ya
mabasi na pia kuna zile mashine kubwa tatu za kukoboa mpunga ambazo huwa
zinajaa watu wengi na pia ni barabara ambayo ina muingiliano mkubwa.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment