Mshindi wa 3 imechukuliwa na timu ya Kitendaguro almaarufu Makhirikhiri, ambao wamejinyakulia milioni 1.5 baada ya kuitoa Kashai kwa bao 3-1.
Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Balozi Hamisi Kagasheki, ameahidi kuendeleza mashindano hayo kila mwaka, huku akiwashukuru wanajimbo waliotoa ushirikiano wao kuhakikisha timu zinafika uwanjani na kushiriki.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment