Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe
Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 wakitokea Marekani katika
ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakilakiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 30, 2013 wakitokea Marekani katika ziara ya kikazi.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment