MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday 29 October 2013

ASKARI WATATU WA AKIBA (MGAMBO) WAMEKAMATWA KWA KUJIFANYA MAAFISA WA POLISI

 Hiyo ni baada ya mkuu wa mkoa wa Kagera kutangaza kuwa operation Kmbunga inaendela kuhusu wahamiaji haramu.
Wanamgambo MATHIAS SOSPETAR,MG 290305,ABED HAMAD(BABA AZU) MG436312 na AMRI SADICK MG436318 na aliyekimbia ni KATO MG 395092.Ambapo kamanda wa polisi mkoani Kagera amethibitisha kukamatwa kwao, na kusema kuwa baada ya kusikia zoezi linaendelea wameamua kuendelea pasipokuagizwa.
Walikamatwa Jumanne wiki iliyopita, lakini wamekaa rumande bila kufikishwa mahakamani, na taarifa zisizo rasmi wameachiliwa hatujajua km ni dhamana baada ya kutangaza taarifa zao.
MWANA HARAKATI

No comments: