Polisi nchini Marekani imempiga risasi na kumuua mwanamke mmoja, baada ya kuzuia magari katika barabara iliyoko karibu ikulu ya WHITE HOUSE.
Mkuu wa kituo cha polisi cha Metropolitan, Cathy Lanier amesema imeilazimu polisi kuwahi eneo hilo kutokana na magari kusimama ghafla na kusababisha taaluki katika eneo la Ikulu ya Marekani.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment