Kifo hiki kimetokea siku moja tu, Waziri wa mambo ya ndani Dr. Emmanuel
Nchimbi alitangaza kushikiliwa kwa watu tisa wanaotuhumiwa kuhusika na ujambazi
uliofanywa dhidi ya Dr. Sengondo Mvungi aliekua mjumbe wa Tume ya Marekebisho
ya Katiba Mpya na kiongozi wa NCCR-Mageuzi.
No comments:
Post a Comment