Wasanii hao wameambatana na wasanii
wengine 13 kutoka katika bendi yao. Pamoja nao katika picha ni pacha wa
msanii huyo Paul Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P - Square .
Mwanamuziki wa kundi la P - Square, Paul
Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarake
Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa Watanzania, Msanii huyo
aliambatana na Pacha wake Peter Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P-
Square. Wasanii hao wameambatana na wenzao 13 ambao watatoa burudani jumamosi
ya tarehe 23 Novemba. Tamasha hilo limeandaliwa na East African Radio na EATV
na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment