Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula
(kushoto) akikata utepe kwa kushirikiana na Bi. Kaisn Anttoncn ambaye ni
Director Chair of PST wa jiji la Tampere.
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akikagua
ubora wa gari hilo toka katika uskani huku akiwa na Bi. Kaisn Anttoncn ambaye
ni Director Chair of PST wa jiji la Tampere. Thamani ya gari hili ni zaidi ya
shilingi millioni 500 za Tanzania.
Mstahihi Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula
akimkabidhi funguo Kaimu kamanda wa kikosi cha Zimamoto mkoa wa Mwanza Christon
Mamyologa mara baada ya kupokea msaada huo toka jiji rafiki la Tampere toka
nchini Finland.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment