MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 25 November 2013

MH. LOWASSA NI LAZIMA TUCHANGIE MAENDELEO NI HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATA YA SARANGA,KIMARA JIJINI DAR

Imefanyika mwishoni mwa wiki wakati alipokwenda kuendesha harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya pili ya Sekondari katika Kata hiyo.Zaidi ya Sh. Mil. 100 zilipatikana kwenye harambee hiyo.

MWANA HARAKATI

No comments: