Picha juu Balozi Kagasheki akikabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba, na picha chini ni wahitimu wa darasa la saba mwaka 2013.
Shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa majengo ikiwamo madarasa na mabweni ambapo katika picha chini, mh Kagasheki akiongozwa na viongozi wa shule kukagua jengo la bweni ambalo hatahivyo Kagasheki alishachangia milioni kadhaa kukamilisha jengo hilo.
Picha chini ni jengo la darasa linalotaraji kutumika kuanzia mwenzi januari, kama darasa la kidato cha kwanza 2014, mh Kagasheki amechangia sh milion 5 ili wakamilishe ujenzi lakini pia ameahidi sh milioni 5 kukamilisha bweni la wavulana.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment