Dua ya kuuombea kheri
mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa la FUTUHI
marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude ilifanyika majira ya saa
9:00 nyumbani kwake Ilemela jijini Mwanza ikiwa kabla ya mazishi
Juu ni wakati wa kuusitiri mwili wa aliyekuwa
mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al
maarufu kwa jina la Mzee Dude, katika makaburi ya Iloganzala wilayani Ilemela
jijini Mwanza.
picha na g sengo
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment