Alikuwa na umri
wa miaka 41, Mtangazaji Televisheni ya BBC Focus on Africa, Komla Dumor
anaripotiwa kufariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake mjini London nchini Uingereza.
Alijiunga na BBC mwaka 2007 baada ya kipindi kirefu akifanya kazi ya utangazaji nyumbani kwao nchini Ghana, amepata kuendesha kipindi cha Focus on Africa, ameshawafanikiwa kuwahoji watu maarufu kama Bill Clinton na mjukuu wa Nelson Mandela, Ndaba Mandela.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment