Akitangaza baraza hilo mbele ya waandishi wa habari ikulu dare
s salaam, katibuy mkuu kiongozi Balozi OMBEN SEFUE, amesema mawaziri hao
wataapishwa kesho saa10 katika viwanja vya ikulu Dar es salaam.
Katika nafasi za mawaziri walijiuzulu na mmoja kufariki
walijanza nafasi ni kama wafuatao;-
Wizara ya mambo ya ndani ni MATHIAS CHIKAWE naibu PELEILA
SHILIMA, fedha ni SAADA MKUYA aliyekuwa naibu kwenye wizara hiyo, na naibu
atakuwa MWIGULU NCHEMA, na ADAM MALIMA, maliasili na utalii ni LAZARO NYALANDU
aliyekuwa naibu wa wizara hiyo, na naibu wake ni MAHMOUD HASSAN MGIMWA na mifugo
na uvuvi anachukua TITUS MLENGEYA Kaman, naibu atakauwa KAIKA SANINGO PEREILA.
Ulinzi na jeshi la kujenga taifa Dk HUSEIN MWINYI.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment